Msanii huyo asema anatarajia kuachia nyimbo yake mpya aliyofanya na msanii mkubwa hapa nchini alisema anajisikia amani kwa sasa yupo na Management, hivyo kwake ni rahisi hata akiachia nyimbo zake hana wasiwasi kama zamani.. Kwaiyo anawaambia mashabiki zake wakae mkao wa kula kuna kazi nzuri zinakuja na anaomba support ya wadau anaomba watanzania wampokee..
0 Comments