PIGO KUBWA KATIKA TATHNIA YA BONGO MUVI BAADA YA MSANII KINYAMBE KUFARIKI DUNIA

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah  "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya. Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia www.raundizatown.blogspot.com kuwa msanii huyo wa filamu  ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa. 

Post a Comment

0 Comments