April 27 2016 kupitia U Heard ya Soudy Brown, inamuhusu staa kutoka kiwanda cha bongoflevani anayefanya vizuri na hitsong yake ya ‘Chafu Pozi’ (Billnass), Soudy Brown amekutana na hii ya Bilnass kutoka kimapenzi na shemeji yake ambaye ni Video Qeen.
Baada ya Audio ya Chafu Pozi kutoka Billnass alisafiri mpaka nje ya nchi
kwenda South Africa kwa ajili ya Kuufanyia video wimbo huo, ripoti
zilimfikia Soudy Brown kuwa wakati Billnass alivyorudi siku ya Aprill 25
alienda kupokelewa na Video Queen maarufu ambaye pia ni shemeji yake
kutoka kwa msanii mwenzake Young Dee.
Soudy Brown alifanikiwa kumpata Bilnass na hiki ndicho alichokisema juu
ya madai hayo ya kumkiss Tunda 76 uwanja wa Ndege…….>>>’Kusema
ukweli mimi na Tunda 76 hatuna ukaribu wa hivyo halafu mimi airport
waliokuja kunipokea ni wadogo zangu labda watu wamemfananisha kwa sababu
pia yeye ana gari jekundu‘:- Bilnass
0 Comments